• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Kyerwa District Council
Kyerwa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa

  • Mwanzo
  • kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Kata
      • Kata zetu
  • Fursa za uwekezaji
    • Kivutio cha Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda
  • huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya picha
    • Huotuba za Viongozi
    • Video

Jaffo, akerwa na kusuasua kwa ujenzi wa jengo la utawala la Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa

Imewekwa tarehe: January 6th, 2021




Waziri wa nchi, ofisi ya Rais na Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Seleman Jaffo amesikitishwa na  maendeleo  hafifu ya ujenzi wa jengo la utawala la Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa.

Akiwa katika ziara ya kikazi ya siku moja Wilayani hapa, mheshimiwa Jaffo amemlaumu mkandarasi SUMA JK  kwa kuzembea kukamilisha mkataba wa ujenzi ambao ulianza mnamo tarehe 30 Juni, 2018 na ulitakiwa kukamilika tarehe 6 Disemba, 2020 ukiwa na thamani ya shilingi bilioni 1.7 hadi walipoishia ujenzi.

Mheshimiwa Jaffo alibainisha mapungufu ya Mkandarasi SUMA JK, kuwa wamekuwa na tabia ya kutelekeza miradi wanayoisimamia iliyopo pembezoni mwa nchi, kwa kigezo kuwa macho ya Serikali yapo mbali kuikagua.

“SUMA JK tunzeni heshima yenu , hamuwezi kusimamisha kazi kwa kusubilia certificate ya milioni 100”, alisisitiza mheshimiwa Jaffo. Mheshimiwa Waziri, ameagiza Jengo hilo lianze kujengwa kupitia  mfumo wa False Akaunti ambapo Mkurugenzi Mtendaji kupitia Mhandisi wa Halmashauri.

Pamoja na ziara hiyo, mheshimiwa Jaffo alikagua ujenzi wa Hospitali ya Wilaya, ambapo alifurahishwa na maendeleo ya hospitali hiyo na kuahidi kiasi cha shilingi bilioni moja kwa ajili ya ununuzi wa  vifaa tiba na ukamilishaji wa miundombinu.


Matangazo

  • Tangazo la Tozo katika Mnada wa Mifugo January 01, 2021
  • Kuitwa Kazini nafasi 27 watendaji wa vijiji May 17, 2018
  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI WA NAFASI YA WATENDAJI WA VIJIJI TAREHE 26-27 JUNI, 2020 June 19, 2020
  • Mlipuko wa ugonjwa wa kichaa cha Mbwa May 17, 2018
  • Tazama vyote

Habari mpya

  • Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa yagawa vifaa vya ujenzi kwa ajili ya ukamilishaji wa vyumba vya madarasa vyenye thamani ya milioni 68.6

    January 25, 2021
  • Jaffo, akerwa na kusuasua kwa ujenzi wa jengo la utawala la Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa

    January 06, 2021
  • Mnada uliofungwa kwa miaka mingi Kyerwa wazinduliwa

    December 16, 2020
  • Baraza la Madiwani la kwanza kwa mwaka 2020-2025 lafanyika wilayani Kyerwa kwa mafanikio.

    December 03, 2020
  • Tazama vyote

Video

Utekelezaji wa dhana ya viwanda Wilayani Kyerwa
Video zaidi

Viungio

  • Dira na dhima ya Halmashauri
  • Maktaba ya picha

Viungio linganishi

  • Tovuti ya Mkoa wa Kagera
  • Mamlaka ya vitambulisho vya Taifa
  • Salary Slip
  • Ofisi ya Rais, TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • Ikulu

Kifuatilia wageni

world map hits counter

Mapokezi ya wageni

free HitCounter

Ramani

Wasiliana nasi

    Kyerwa District Council

    Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA

    Simu ya mezani: +255 686 397 972

    Simu ya Mkononi: +255 754 422 746

    Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved