• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Kyerwa District Council
Kyerwa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa

  • Mwanzo
  • kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Kata
      • Kata zetu
  • Fursa za uwekezaji
    • Kivutio cha Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda
  • huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya picha
    • Huotuba za Viongozi
    • Video

Elimu Msingi

Utoaji wa huduma ya elimu katika Wilaya ya Kyerwa uazingatia sheria,sera,na miongozo mbalimbali kama vile sera ya Elimu na mafunzo ya mwaka 1996,Sheria ya Elimu Na.25 ya mwaka 1978 na marekebisho ya sheria Na.10 ya mwaka 1995.Wilaya inatambua kuwa watu wenye elimu ni muhimu kwa maendeleo ya Taifa letu na hakiya kupata elimu inatambulika kisheria katika katiba yetu.

Elimu ya msingi bila malipo

Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa inasimamia na kutekeleza huduma ya utoaji wa elimu ya msingi bila malipo.Katika utoaji wa huduma hii,wanafunzi hupata elimu bila ya kuchangia fedha.Fedha za uendeshaji wa shule hutolewa na serikali.Kwa mwaka wa fedha 2015/2016 jumla ya tsh 241,101,000 imepokelewa kwenye shule za msingi,na kiasi cha tsh 413,233,553 kimepokelewa kwa mwaka wa fedha 2016/2017. Aidha wananchi wanashirikiana na serikali yao kwa kuchangia nguvu za jamii katika miradi mbalimbali ya ujenzi wa miundombinu ya shule.

P4R

Huu ni mpango unaojulikana kamampango wa elimu kwa ajili ya matokeo(MEam).Mpango huu katika Halmashauri ya wilaya ya Kyerwa kwa mwaka wa fedha 2015/2016 na 2016/2017 umesaidia sana katika maeneo yafuatayo:-

  1. Kusawazisha uwiano wa walimu shuleni
  2. Kuboresha upatikanaji wa takwimu za elimu
  3. Kuboresha miundombinu ya shule kupitia fedha za motisha katika shule.Shule zilizopokea fedha za motisha ni Ileega,Nyamilima,Omukachili,Kitega,na Maendeleo.
  4. Ujenzi na ukarabati wa vyumba vya madarasa na matundu ya vyoo katika shule za msingi.

Aidha,jumla ya Tsh 78,000,000 zilipokelewa kwa mwaka wa fedha 2015/2016 ,na jumla ya Tsh 271,006,960 zilipokelewa kwa mwaka wa fedha 2016/2017.Fedha hizi zimesaidia kufanikisha maeneo yaliyotajwa hapo juu.

Usajili wa darasa la kwanza

Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa imefanikiwa kuongeza kiwango cha usajili wa wanafunzi wa darasa la kwanza ikilinganishwa na miaka ya nyuma.Mwaka 2016 ilikadiriwa kusajili wavulana 4525,na wasichana 4319



Matangazo

  • Tangazo la Nafasi za Kazi Mwisho 8/11/2021 October 28, 2021
  • Tangazo la Tozo katika Mnada wa Mifugo January 01, 2021
  • Kuitwa Kazini nafasi 27 watendaji wa vijiji May 17, 2018
  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI WA NAFASI YA WATENDAJI WA VIJIJI TAREHE 26-27 JUNI, 2020 June 19, 2020
  • Tazama vyote

Habari mpya

  • Wilaya ya Kyerwa yaadhimisha siku ya Muungano kwa kufanya usafi

    April 26, 2022
  • Miche ya kahawa zaidi ya milioni 3 kugawiwa kwa wakulima

    February 25, 2022
  • Skauti Kyerwa Yasajili wanachama Wapya 226

    February 19, 2022
  • Milioni 179 zakopeshwa kwa vikundi vya wanawake na vijana kyerwa

    December 31, 2021
  • Tazama vyote

Video

Kamati ya siasa ukaguzi wa Miradi Kyerwa
Video zaidi

Viungio

  • Dira na dhima ya Halmashauri
  • Maktaba ya picha

Viungio linganishi

  • Tovuti ya Mkoa wa Kagera
  • Mamlaka ya vitambulisho vya Taifa
  • Salary Slip
  • Ofisi ya Rais, TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • Ikulu

Kifuatilia wageni

world map hits counter

Mapokezi ya wageni

free HitCounter

Ramani

Wasiliana nasi

    Kyerwa District Council

    Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA

    Simu ya mezani: +255 686 397 972

    Simu ya Mkononi: +255 754 422 746

    Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved