Utoaji wa huduma ya elimu katika Wilaya ya Kyerwa uazingatia sheria,sera,na miongozo mbalimbali kama vile sera ya Elimu na mafunzo ya mwaka 1996,Sheria ya Elimu Na.25 ya mwaka 1978 na marekebisho ya sheria Na.10 ya mwaka 1995.Wilaya inatambua kuwa watu wenye elimu ni muhimu kwa maendeleo ya Taifa letu na haki ya kupata elimu inatambulika kisheria katika katiba yetu.
Wilaya ina jumla ya shule za sekondari 27 ambapo kati ya shule hizo,shule zinazomilikiwa na serikali zipo 21,za watu binafsi ni 4,na za madhehebu ya dini ni 2.Wilaya ina shule moja tu ya kidato cha tano na sita inayoitwa Shule ya sekondari Kaisho inayomilikiwa na dhehebu la dini.
Katika sekta ya Elimu sekondari,Wilaya imefanikiwa kutimiza yafuatayo:-
Kyerwa District Council
Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA
Simu ya mezani: +255 686 397 972
Simu ya Mkononi: +255 754 422 746
Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz
Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved