Kitengo cha Sheria cha Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa ni moja kati ya vitengo na idara za Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa ambacho kinafanya kazi zake chini ya idara ya Utawala, kitengo kilianzishwa mwaka 2012 mara baada ya Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa kuanzishwa, na kinafanaya kazi kwa mujibu wa Sheria ya Serikali za Mitaa (Mamlaka ya Wilaya) sura ya 287.
Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa ni moja kati ya vitengo na idara za Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa ambacho kinafanya kazi zake chini ya idara ya Utawala, kitengo kilianzishwa mwaka 2012 mara baada ya Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa kuanzishwa, na kinafanaya kazi kwa mujibu wa Sheria ya Serikali za Mitaa (Mamlaka ya Wilaya) sura ya 287.
Kitengo cha Sheria kina Kanuni za kimaadili zinazozingatia Kanuni za maadili za Wanasheria Tanzania ikiwa ni pamoja na uwazi,usiri,uaminifu,utaalamu,kujitolea,Kufanya kazi kwa pamoja,uwajibikaji,ubora wa kazi,demokrasia,na uhuru wa mawazo.
Malengo Mkakati ya Kitengo:-
Kyerwa District Council
Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA
Simu ya mezani: +255 686 397 972
Simu ya Mkononi: +255 754 422 746
Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz
Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved