• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Kyerwa District Council
Kyerwa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa

  • Mwanzo
  • kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Kata
      • Kata zetu
  • Fursa za uwekezaji
    • Kivutio cha Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda
  • huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya picha
    • Huotuba za Viongozi
    • Video

Mifugo

IDARA YA MIFUGO NA UVUVI

FURSA ZA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA MIFUGO NA UVUVI WILAYA YA KYERWA

UTANGULIZI

Sekta ya Mifugo na Uvuvi imekuwa miongoni mwa sekta muhimu sana hapa nchini katika kuinua kipato cha mwananchi. Katika Sekta hii wananchi wamejikita katika ufugaji wa ng’ombe, mbuzi, nguruwe, kuku, bata, sungura n.k kwa ajili ya matumizi ya chakula na biashara ili kukidhi mahitaji ya kaya zao. Wilaya ya Kyerwa Wananchi wamejikita zaidi katika ufugaji wa ng’ombe wa asili, mbuzi wa asili na kuku wa asili. Pamoja na wafugaji mmojammoja wananchi pia wanashirikiana kwa kuunda vikundi vidogovidogo vinavyowasaidia na kuwapa mwanya katika kusaidiana katika matatizo mbalimbali ya kijamii.

Sekta ya Mifugo na Uvuvi Wliayani Kyerwa ina fulsa mbalimbali za Uwekezaji ambazo zinaweza kuongeza tija zaidi kwa Wananchi katika kipato cha kila siku na kwa maendeleo ya Wananchi, Wlaya na Taifa kwa ujumla. Zifuatazo ni baadhi ya fursa za Uwekezaji zilizopo katika Sekta hii katika Wilaya ya Kyerwa:-

  • KIWANDA CHA KUSINDIKA NYAMA. (MEAT PROCESSING INDUSTRY)
  • Kutokana na Wilaya ya Kyerwa kujaaliwa kuwa na mifugo wengi hasa ng’ombe na mbuzi wa asili pamoja na malisho ya kutosha, kumekuwa na fursa nzuri ya uwekezaji katika usindikaji wa nyama. Wilaya inazalisha kwa wastani wa tani tatu (3) za nyama kwa mwaka katika uchinjaji mdogomdogo wa vijijini, hivyo kama biashara hii ikiboreshwa kupitia uwekezaji kwa kuanzisha kiwanda cha kusindika nyama bila shaka biashara hii itakuwa kutokana na uhitaji mkubwa wa nyama ambao ni wastani wa tani 8 kwa mwaka. Fursa hii ni muhimu kwa kuwa itaongeza kipato kwa wananchi, Wilaya na Taifa kwa ujumla na kuongeza soko la Mifugo.
  • KIWANDA CHA KUCHAKATA NGOZI (HIDES AND SKINS PROCESSING INDUSTRY)
  • Kutokana na uwepo wa mifugo kwa wingi wanaoweza kuzalisha ngozi (Ng’ombe na Mbuzi) katika Wilaya hii na kuzalisha ngozi kwa wingi uwekezaji katika eneo hili ni muhimu. Kiwanda cha kuchakata ngozi kikianzishwa kitarahisisha upatikanaji wa bidhaa za ngozi kama vile mikanda, mabegi, pochi, viatu n.k. Ngozi nyingi zinazotoka Wilya hii zinauzwa nchi jirani za Rwanda na Uganda hivyo kuongeza bei ya bidhaa za ngozi zinapokuja kuuzwa nchini, Hivyo uchakataji wa ngozi ukifanyika ndani ya nchi itasaidia kupunguza bei ya bidhaa za ngozi kwa wananchi na kuongeza pato la Taifa kwa kuuza bidhaa hizo nje ya nchi.
  • UANZISHAJI WA MIRADI YA KUNENEPESHA NG’OMBE (FEEDLOTING OF CATTLE)
  • Ili kuongeza ubora wa zao la nyama na ngozi Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa inakaribisha uwekezaji katika kuanzisha miradi ya kunenepesha ng’ombe. Miradi hiyo itasaidia kukuza na kuboresha biashara ya mifugo na mazao yake katika Wilaya. Wilaya ina mazingira mazuri na bora kwa ajili ya kutekeleza mradi huu kama vile vyanzo vya maji, malisho na uwepo wa mifugo yenyewe.
  • UWEKEZAJI KATIKA UFUGAJI WA NG’OMBE WA MAZIWA
  • Hali ya hewa ya Wilaya ya Kyerwa ni rafiki kwa ajili ya ufugaji wa ng’ombe wa maziwa. Jamii ya Wilaya ya Kyerwa ina uhitaji mkubwa wa ng’ombe wa maziwa (hasa mitamba) kwa ajili ya uzalishaji wa maziwa lakini upatikanaji wa mitamba ni mgumu hivyo kufanya ugumu wa kufanya shughuli hiyo, Hivyo Mashirika, Makampuni na Wawekazaji mbalimbali wanakaribishwa kuwekeza katika uzalishaji na usambazaji wa mitamba kwa wananchi wa Wilaya ya Kyerwa. Hadi sasa  jumla ya mahitaji ya maziwa kwa Wilaya ya Kyerwa ni tani 10,500 kwa mwezi na kiasi cha tani 865 ndicho kinazalishwa kwa sasa ambacho ni asilimia 8.2 ya mahitaji yote kwa mwezi, hivyo kuwepo kwa hitaji kubwa la uwekezaji katika ufugaji wan g’ombe wa maziwa.
  • UFUGAJI WA SAMAKI KATIKA MABWAWA.
  • Wilaya ya Kyerwa imejaaliwa kuwa na vyanzo vingi vya maji (Mabwawa na mto) na hali ya hewa nzuri kwa ajili ya ufugaji wa samaki.  Wilaya inazalisha wastani wa Tani 80 za samaki kwa mwaka. Kutokana na uwepo wa hali hiyo na mahitaji makubwa ya kitoweo cha samaki ambacho ni tani 160 kunatoa fursa ya kuanzisha ufugaji wa samaki katika mabwawa na katika vizimba (Cages). Samaki wanaozalishwa kwa wingi katika Wilaya hii ni Kamongo, Kambare na Sato. Wilaya inayo maeneo mazuri yanayoruhusu ufugaji wa samaki , mabwawa na mito.

MUHIMU:-WILAYA YA KYERWA INA HALI NZURI YA HEWA, AMANI, UTAWALA MZURI, HALI NZURI YA HEWA NA UWEPO WA FURSA MBALIMBALI ZA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA MIFUGO NA UVUVI, HIVYO INAWAKARIBISHA WAWEKEZAJI WA NDANI NA NJE YA WILAYA KUWEKEZA KATIKA MAENEO HAYO.

Matangazo

  • WALIOCHANGULIWA KIDATO CHA KWANZA - 2023, HALMASHAURI YA KYERWA December 14, 2022
  • Kuitwa kwenye usahili nafasi za Udereva Daraja la II utakaofanyika kuanzia tarehe 20/11/2022 mpaka tarehe 21/11/2022 November 14, 2022
  • Tangazo la Nafasi ya Udereva TGS B Nafasi 02 -Limerudiwa Mwisho tarehe 18/08/2022 August 11, 2022
  • Mlipuko wa ugonjwa wa kichaa cha Mbwa May 17, 2018
  • Tazama vyote

Habari mpya

  • Bilioni 1.2 zajenga vituo 2, na Zahanati 2 Kyerwa

    January 09, 2023
  • Ujio wa Mwenge wa Uhuru Wilayani Kyerwa

    October 06, 2022
  • "Hatutalala,hatutapumzika kuhakikisha ugonjwa wa Ebola hauingii Nchini " Waziri Ummy Mwalimu

    October 05, 2022
  • Mkurugenzi akerwa na uvamizi wa maeneo ya vituo vya wakulima

    September 26, 2022
  • Tazama vyote

Video

Kamati ya siasa ukaguzi wa Miradi Kyerwa
Video zaidi

Viungio

  • Dira na dhima ya Halmashauri
  • Maktaba ya picha

Viungio linganishi

  • Tovuti ya Mkoa wa Kagera
  • Mamlaka ya vitambulisho vya Taifa
  • Salary Slip
  • Ofisi ya Rais, TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • Ikulu

Kifuatilia wageni

world map hits counter

Mapokezi ya wageni

free HitCounter

Ramani

Wasiliana nasi

    Kyerwa District Council

    Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA

    Simu ya mezani: +255 686 397 972

    Simu ya Mkononi: +255 754 422 746

    Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved