• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Kyerwa District Council
Kyerwa District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa

  • Mwanzo
  • kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Takwimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Ufugaji wa Nyuki
    • Kata
      • Kata zetu
  • Fursa za uwekezaji
    • Kivutio cha Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Viwanda
  • huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya picha
    • Huotuba za Viongozi
    • Video

Kyerwa yaadhimisha siku ya Malaria Duniani

Imewekwa tarehe: April 25th, 2023

Wilaya ya Kyerwa imeadhimisha siku ya Malaria Duniani kwa kutoa elimu kupitia matamasha na mikutano  kwenye Kata za Nkwenda,Rwabwere na Iteera.

Akizungumza na Afisa Habari wa Halmashauri, mratibu wa Malaria Wilayani, ndugu Goreth Zilyahuramu amesema kuwa kwa kushirikiana na programu ya Shinda Malaria , wameweza kuwafikia wanajamii wa kata 3 za NKwenda,Rwabwere,na Iteera ambapo wametoa elimu juu ya masuala ya kujikinga na ugonjwa wa Malaria. "Tunawashukuru wadau hawa ambao wamejumuika nasi katika kuadhimisha siku hii kwa kutoa elimu kwa awananchi wa Kyerwa" alisisitiza Ndugu Goreth.

Siku ya Malaria Duniani huadhimishwa kila tarehe 25 , na kauli mbiu ya mwaka huu ni wakati wa kutokomeza malaria ni sasa:badilika, wekeza, tekeleza. Ziro malaria inaanza na mimi.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUPANGISHA VISIWA VYA OMWIZINGA (NYAKAZINGA NA IZINGA) NA FORONGO August 26, 2023
  • TANGAZO LA UPANGISHAJI WA VYUMBA VYA BIASHARA KATIKA MJI WA BIASHARA NKWENDA MAENEO YA STENDI MPYA YA MAGARI September 19, 2023
  • Kuitwa kwenye usahili nafasi za Udereva Daraja la II utakaofanyika kuanzia tarehe 20/11/2022 mpaka tarehe 21/11/2022 November 14, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USALI June 23, 2023
  • Tazama vyote

Habari mpya

  • WAZIRI MKUU AFUNGA MAFUNZO YA UONGOZI KWA VIONGOZI WA MKOA WA KAGERA

    September 22, 2023
  • DC MSOFE: TUACHANE NA DHANA POTOFU JUU YA CHANJO

    September 15, 2023
  • DKT. RWEZIMULA ATEMBELEA MRADI WA UJENZI WA VETA KYERWA

    September 14, 2023
  • DED KYERWA APOKEA VIFAA VYA MICHEZO

    September 09, 2023
  • Tazama vyote

Video

Kamati ya siasa ukaguzi wa Miradi Kyerwa
Video zaidi

Viungio

  • Dira na dhima ya Halmashauri
  • Maktaba ya picha

Viungio linganishi

  • Tovuti ya Mkoa wa Kagera
  • Mamlaka ya vitambulisho vya Taifa
  • Salary Slip
  • Ofisi ya Rais, TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • Ikulu

Kifuatilia wageni

world map hits counter

Mapokezi ya wageni

free HitCounter

Ramani

Wasiliana nasi

    Kyerwa District Council

    Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA

    Simu ya mezani: +255 686 397 972

    Simu ya Mkononi: +255 754 422 746

    Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved