Imewekwa tarehe: February 14th, 2025
KAMATI ya Siasa ya Wilaya ya Kyerwa imefanya ziara leo, Februari 14, 2025 kutembelea miradi mbalimbali ya maendeleo ndani ya Halmashauri ya Wilaya na kuridhishwa na usimamizi wa miradi hiyo.
...
Imewekwa tarehe: February 11th, 2025
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imetoa mafunzo ya elimu ya fedha kwa wadau mbalimbali kwa lengo la kuwajengea uwezo juu ya masuala ya fedha, utunzaji wa fedha na huduma ndogo za kifedha, yaliyotolewa l...
Imewekwa tarehe: February 4th, 2025
Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa limeridhia kupitisha rasimu ya bajeti ya Shilingi 50,329,376,863.00 kwa mwaka wa fedha 2025/2026 ambayo sawa na ongezeko la 14.9% ya bajeti ya mwa...