kwa mujibu wa sheria ya fedha ya mwaka 1982,idara ya fedha na biashara inawajibu wa kukusanya mapato kutoka vyanzo mbalimbali kwa ajili ya matumizi ya idara na vitengo vinavyounda Timu ya Menejimenti ya Halmashauri.Idara hii pia inatumika kama mshauri mkuu wa masuala ya kifedha kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya.
Ili kuweza kutekeleza majukumu yake kiufanisi,idara hii imegawanyika katika vitengo viwili ambavyo ni Fedha na Biashara.
Fedha na utawala.
Kitengo hiki kinahusika na ukusanyaji wa mapato na kuandaa hati za malipo kwa wateja.Halmashauri ina vyanzo mbalimbali vya mapato kama vile mapato yatokanayo na ushuru na tozo za mazao,mifugo,misitu,ruzuku na misaada toka serikalini na wafadhiri. Ili kuhakikisha kuwa mapato yaliyokusudiwa yanapatika inatumia mbinu kuu tatu:
Kyerwa District Council
Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA
Simu ya mezani: +255 686 397 972
Simu ya Mkononi: +255 754 422 746
Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz
Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved