Kamati hii hujadili na kutoa maamuzi juu ya taarifa za utekelezaji wa Idara ya Afya na Usitawi wa jamii, maendeleo ya jamii na Asasi zinazojihusisha na masuala ya ukimwi wilayani.
Wajumbe wa kamati hii ni waheshimiwa madiwani ambao wapo 6, na wataalamu wa Timu ya Menejimenti (CMT). Kamati hii hukaa kikao kimoja kila baada ya miezi mitatu.
Kyerwa District Council
Anuani ya Posta: P.O Box 72, KYERWA
Simu ya mezani: +255 686 397 972
Simu ya Mkononi: +255 754 422 746
Barua pepe : ded@kyerwadc.go.tz
Hakimiliki©2017 GWF, Kyerwa District Council. All Rights Reserved